Wanaume!!: kuna ukweli hapa?

Nyie si. Mnapenda hela.

Mshatuaminisha hivyo .

Nasisi tunazisaka ili tuwatumie vizuri
Ndiyo na mzisake tu acheni waendelee kupenda pesa maana hata wakiacha kupenda pesa bado mtawatumia tu vile vile kwahiyo kuliko kuwatumia bure ni bora muwatumie na pesa angalau maumivu ya kutumiwa yatapungua
 
Kuna ukweli,na muda wote unashawishika kukaa nyumbani na kuacha kuzurura zurura hovyo
 
Hapana, sio kila kitu ila ndio kitu pekee cha kustawisha penzi, hebu imagine ungekuwa mzuri afu unakutana na mimi nakupa offer za dubai, ibiza na the likes, unachomokaje!?
Hizo offer zikiambatana na mapenzi na kujaliana basi hauwezi kuachwa ila eti unamnyanyasa na kumsaliti mwanamke in the name of your offers my friend kuachwa ni pie
 
Hizo offer zikiambatana na mapenzi na kujaliana basi hauwezi kuachwa ila eti unamnyanyasa na kumsaliti mwanamke in the name of your offers my friend kuachwa ni pie
Yani utoke ninapokupa m uende kupata buku teni!?
 
kuna kitu kinaitwa GRATITUDE hao unaowaona hawana, watu kama hao sio kwa mkewe tu ila huwa hawa appreciate chochote kwenye maisha yao na wana sumu kweli kweli hasa akikosewa hawez kusamehe maana hana shukrani na uwepo wa wengine kwenye maisha yao - hilo nalo ni tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…