agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,414
- Thread starter
-
- #21
Ila kuna wanawake wazuri bna tuseme ukweli.Sijawahi kujua mwanamke/msichana mwenye mvuto ni mwanamke ama msichana wa aina gani.
Ingawa ninatambua kwamba mvuto wa mwanamke ama msichana hutoka kwenye chachu ya mtazamo ama jicho la mwanaume
Sijawahi kujua mwanamke/msichana mwenye mvuto ni mwanamke ama msichana wa aina gani.
Ingawa ninatambua kwamba mvuto wa mwanamke ama msichana hutoka kwenye chachu ya mtazamo ama jicho la mwanaume
Heee sijaiona hiyo....Kuna post moja kidogo aseme yeye ndio alitoka ubavuni kwa manzi wake[emoji23][emoji23]
Mapenzi upofu
Sio wote lakini.Mwanamke mwenye hlo umbo hutegemea na kuamini mwili wake kumuongoza kuliko akili..
Mwanamke anaejiona yy ni mzuri ata asomeshweje bado akili yake itauamini mwili wake kuliko alichosomea!
Wa dar wamefanyaje?Huyu chalii anakuja kutuabisha watu wa kaskazini aise anataka kufanya wanaume wa kaskazin tuonekane kama wa dar
[emoji23][emoji23]cjui kabisa mkuuWa dar wamefanyaje?
Mapenzi ya mtandaoni huwa hayadumu chakushangaza vijana hawajifunzi.Halafu shetani anamchora tu. Miaka mitatu mingi atakuja kulia lia hapo hapo,machizi wakishaanza kumgongea huyo demu wake anaemuanika anika. Nakuambia lazima wahuni wambutue huyo demu wake,si amemtangaza
Nani kaonyesha wivu?Ni wivu tu
Tatizo wanaume wengi wanaona kama vile wakiwasifia wake zao au wapenzi wao mbele za watu wataonekana wamejishusha na wameonyesha udhaifu wa hali ya juu kwahiyo wanajikuta makauzu
wanawake wanatatizo gani?Hajawajua wanawake.
Ngoja tumkaribishe ukubwani, tena apewe tuition.
Kaskazini itisheni kikao mapema. Mnakumbuka yule wa Dsm (R.I.P )alipobwagwa na demu wake?
Wanawake wamefanyaje?Hawajui wanawake vizuri huyu
Nachoweza sema huyo manzi anafaa kwa matumizi halali.
Una uzoefu na mapenzi ya mtandaoni ?Mapenzi ya mtandaoni huwa hayadumu chakushangaza vijana hawajifunzi.