Perfectz
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 9,580
- 29,716
Nilienda sero mkuu wakasema kuwa sisi ndo tunaofanya mapenzi hovyo na kutuma mipira iliyotumika mtaani watoto wanachezea.Faini 50K mkuumkuu umenichekesha na nimekuonea huruma...ikawaje aisee
Sent from my D5303 using JamiiForums mobile app