Wanaume katika saikologia ya ngono

Daaah jamaa umetuinua kiasi fulani, tunateseka sana huku kitaa labda leo wakisoma watakuwa hawatushutumu kuwa tunadharaurisha
 
Ni wivu tu
I no
 
Kuna kitu umesahau kuongeza mkuu kwa hii uzi wako, kaa wewe ni mwanaume na uume wako katika wiki nzima ukiamka asubuhi unakuta uume wako haujasimama kwa zaidi ya mara 3 kwa wiki(yaani kwa wiki moja siku 7 , usaamuka zaidi ya siku 4 na unakuta uume wako haujaamka au kusimama asubuhi unapoamka) basi kwa haraka sana muone daktari , UKO MGOJWA, hii si utani wale mchezo, afya yako iko hatarini, kwa mwanaume ambae afya yake ni imara lazima asubuhi akiamka anakuta uume wake umesimama zaidi ya mara 3 kwa wiki, pls consult a physian or doctor if you dont get erection for at least 4 times in a week when you wake up in the morning, your health is in danger pls
 
Asante.nitafanya ku update
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dah afadhali umetutetea
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hatari gani mtu anakuwa nayo kama hakuna erection ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…