Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,672
Mwenyeweeee😁😁😁Sawa Mwana saikolojia
Sasa unashangaa hivyo hushangai, karibia 97% ya wanaume wote duniani wameshawahi kubaka mikono yao wenyeweIla bado kuna vitu nashangaa sana kwa wanaume sisi , mfano unakuta Mwanaume kabaka mtoto mdogo kabisa sasa swali ni je? Alitamani nini kwa mtoto?
Unakuta mwanamke mlemavu wa akili ana mimba asa najaribu kujiuliza hii nayo vipi??
Unakuta mwanaume ana mla au kubaka bibi mzee sasa nayo hii vipi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwanafunzi sinywagi bia.He he mkuu kula bia takuja lipa...
Hadi manabii?Sasa unashangaa hivyo hushangai, karibia 97% ya wanaume wote duniani wameshawahi kubaka mikono yao wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona nipo muda sana humukaribu JF mkuu...
Hahahahaha