Wewe umenipenda lazima unitunze,mke ni ua... Lazima lipaliliweKwani lazima kupeana pesa, upendo kwanza, pesa baadas,
Kwani na wewe unampaga pesa ?
Alafu huu mchezo wakina dada acheni bwana, yaani mnataka vyote mpewe, kukunwa mkunwe pesa pia mpewe jamani, aaaghh
Wewe umenipenda lazima unitunze,mke ni ua... Lazima lipaliliwe
Si kweli
Wewe limwagilie vizuri utakavyo,ila ukumbuke kulipalilia ili liendelee kupendeza
Sio kwamba,ni makusudi,labda upo unaumwa au hujisikii vizuri..kwa nini mwanaume hayupo happy na Wewe,anakuwa happy mkisha maliza kufanyaKwa nini unakataa?
Hivi mimi niwe mji mmoja na wewe, tunaitana wapenzi, unipe mwezi kwa mwezi kama mshahara!
Na mimi itabidi nikupe siku ya mshahara, natafuta pa kufidia hizo siku zingine.