Wanaume jifunzenii Usafii

Kama yupo shupavu akianza kukushughulikia sawa sawa utasahau uliyoyaona kabla na utajikuta wewe myenyewe huo mdomo unaotoa harufu unaulamba automatically
 
Siku nyingine mnunulie rungu, vile visabuni vya lodge ni vidogo sana
 
Ww ni jinsia gani[emoji15] [emoji15]
 
Wanaume wa level yako ndio wapo hivyo, tayari ushatuambia ulivyo muonekano wako bila wewe kujua
 
Tatizo umezoea chapu chapu huna mpenzi wako maalumu lazima hayo yakukute kwakuwa unakutana nao wakiwa misele mpenzi mzuri ni wako wa kudumu naye unamuandaa baafuni unamuogesha unamkanda mabega unamfulia chupi huyo hawezi kuwa mchafu mchafu ni wewe unaekimbia majukumu yako kuwa utakuwa msaidizi wa mume usafi unaanza na mwanamke unaishia kwa mume nje ya hapo mchafu ni mwanamke
 
Mida ya break hii kwa sisi walinzi. Usafi ni wa muhimu sana aise kwa pande zote mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…