1kush africa JF-Expert Member Joined Dec 13, 2016 Posts 10,201 Reaction score 14,379 Jun 6, 2017 #21 Jembekillo said: Nimepeleka Hiace kijijini ikafanye biashara lkn mimi mwenyewe naumwa wiki ya tatu hii ugonjwa hauonekani Click to expand... Mkuu hahaha, rudisha town! Utapotea oooooho, Unatokea wapi?
Jembekillo said: Nimepeleka Hiace kijijini ikafanye biashara lkn mimi mwenyewe naumwa wiki ya tatu hii ugonjwa hauonekani Click to expand... Mkuu hahaha, rudisha town! Utapotea oooooho, Unatokea wapi?
1kush africa JF-Expert Member Joined Dec 13, 2016 Posts 10,201 Reaction score 14,379 Jun 6, 2017 #22 Jembekillo said: [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mkuu umeshaelewa najua. Wanakijiji wamekaa kama kamati wamefanya yao Click to expand... ulienda kwa mikogo nn?
Jembekillo said: [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mkuu umeshaelewa najua. Wanakijiji wamekaa kama kamati wamefanya yao Click to expand... ulienda kwa mikogo nn?
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 17,573 Reaction score 20,610 Jun 6, 2017 #23 mapinduzi daima said: Siku ukipatwa na shida na ukalazimika kurudishwa kijijini kwenu itakuwa aibu yako na ya familia yako IF kwa wazazi wako kutakuwa hakueleweki... Click to expand... Kwa nini urudishwe kijijini? Kwenda kufanya nini wakati una nyumba mjini?
mapinduzi daima said: Siku ukipatwa na shida na ukalazimika kurudishwa kijijini kwenu itakuwa aibu yako na ya familia yako IF kwa wazazi wako kutakuwa hakueleweki... Click to expand... Kwa nini urudishwe kijijini? Kwenda kufanya nini wakati una nyumba mjini?