UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Kijijini Unalala Kwenye Nyumba Ina Ma Panya Aibu Ukifia Mjini Siku Unaletwa Kwenu Aisee Jengeni Nyumbani Jamani Hata Kadogo Lakini Modern Hutoki Nje Usiku Na Panga Kwenda Chooni
Wazo lako sio baya sababu ya kujenga ndio mbaya.Kijijini Unalala Kwenye Nyumba Ina Ma Panya Aibu Ukifia Mjini Siku Unaletwa Kwenu Aisee Jengeni Nyumbani Jamani Hata Kadogo Lakini Modern Hutoki Nje Usiku Na Panga Kwenda Chooni
[emoji12] [emoji12] [emoji12] , Mkuu malizia tu.. unataka kusemaaa.....Nimepeleka Hiace kijijini ikafanye biashara lkn mimi mwenyewe naumwa wiki ya tatu hii ugonjwa hauonekani
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mkuu umeshaelewa najua. Wanakijiji wamekaa kama kamati wamefanya yao[emoji12] [emoji12] [emoji12] , Mkuu malizia tu.. unataka kusemaaa.....
Nimemeza dawa zote wapi nimegeukia dawa za kitamaduni now[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mkuu umeshaelewa najua. Wanakijiji wamekaa kama kamati wamefanya yao
Inasikitisha sana...
Huko vijijini watu pia wana mambo ya husda sana... unaweza ukafanya jambo la maendelea kwa nia njema, harakati zako zikakutokea puani.. ndiyo maana wengi wanakwepa kujenga vijijini mwao..
cc: mahondaw
Nimepeleka Hiace kijijini ikafanye biashara lkn mimi mwenyewe naumwa wiki ya tatu hii ugonjwa hauonekani
Comrade Smart911
Sikubaliani nawe ktk mtazamo wako...
IF and only IF, wazazi bado wapo hai kijijini nawe unaishi mjini na UNA UWEZO wa kuwajengea mahali pazuri nakushauri fanya hivyo.
Ni aibu na dhambi kwa kijana/mzee kuishi mjini ukitanua na kukaa mahali pazuri huku WAZAZI wako kijijini wakiishi kwa shida na kulala mahali pabovu.
Siku ukipatwa na shida na ukalazimika kurudishwa kijijini kwenu itakuwa aibu yako na ya familia yako IF kwa wazazi wako kutakuwa hakueleweki...
Ni ushauri tu
cc Swtbird rubii