Wanaume: Huwa mnasahau nini kwa ma-ex zenu?


Umeeleza vizuri. Inawezekana siyo kwamba huyu dada hakupendwa ila wanaume wanajikuta kama kifungoni kwa kufuatiliwa sana na hivyo kuhisi kukosa uhuru. Nafikiri anapaswa kulitambua hili na kama asipolijua ataishia kulalamika kila siku ya kwamba wanaume hawaeleweki.
 
wasipowatafuta utasikia ooohh hanijali mara kishapata mwingine! wakiwatafuta oooh safocation, kumridhisha binadamu taabu sana.
Taabu mno bi mkubwa. Tatizo na wenyewe wakiwa ndo wanakupa tongozo, simu yako haipumui kabisa, baby this, baby that, baby blah blah. Hadi mtu unazoea na kuhisi mawasiliano yenu ndivyo yatakuwa kila siku. Mmh kumbe mwenzio ni swagga tu za kumtoa nyoka pangoni
 
wao wanatusafocate wakati wa tongozo ila hawataki kuwa safocated baada ya kukubaliwa!! hawa viumbe ni very selfish to the maximum.

 
wao wanatusafocate wakati wa tongozo ila hawataki kuwa safocated baada ya kukubaliwa!! hawa viumbe ni very selfish to the maximum.
Hahaha hawaeleweki kama kitu fulani hivi. Na wewe ukisema usimtafute hadi akiwa free akutafute mwenyewe, ni kosa kubwa. Yani me huu uzee unavyonijia vibaya, stress nina allergy nazo hatari. Nakuacha tu ufanye yako, ukijisikia utanitafuta (though ndo unanifundisha kuishi bila wewe, hilo gap likikua mmmh), but please siwezi kumlazimisha mtu mzima awasiliane na mimi kama haoni umuhimu
 
ndio hivyo, unampuuza tu unaendelea na yako, alafu taratibu ndio nitolee hiyo maana mahusiano bila mawasiliano sio mahusiano hayo, mnahusiana nn hapo sasa!!

 
Tunakuwa tumepata pa kulinganishia halafu unakuwa uko juu...

Unajuwa tunajuwa huyu ni mrefu kwa sababu umeona kuna mfupi otherwise huwezi jua....

Hivyo tunajuwa wewe Ex unapafomu sawasawa baada ya kukutana na magogo na watenga chakula ukimaliza wanatoa vyombo
 
ndio hivyo, unampuuza tu unaendelea na yako, alafu taratibu ndio nitolee hiyo maana mahusiano bila mawasiliano sio mahusiano hayo, mnahusiana nn hapo sasa!!

mawasiliano mengine yanakuwa ni kero. Simu kila saa, mara upo na nani, mara upo wapi. mara unafanya nini, Girl, are we in interview.? Akikupigia simu aakikuta ipo busy ukija kupokea inakuwa kesi, anakuuliza ulikuwa unaongea na nani, simu ukipigiwa usipopokea bahati mbaya upo busy mara ooo umenidharau au ulikuwa na mwanamke wako.

yaani ni tabu tupu.
 
Sio kila kipolo kinapashwa jamani kipolo cha wali kinapashika na kinakuwa wali fresh. Kipolo cha makande ni kipolo tuu!
Kuna mwanaume mwanaume haswaaa sio wale wavulana under 30 boys! Yaan mnaachana may be kwa uzembe wake vikelele vinaanza home mnaachana! Ila baada ya miezi anarudi na a bundle of sweetht na na magunia ya queen's and queen's kumbuka awali alikuwa asset na sio liability weee utaacha kupasha kipolo hicho? Na mtu kajileta mwenyewe kwa magoti? Labda kama alikuwa liability!
 
kama uliweza kuzivumilia hizo kero mwanzoni inamaana uliona unazimudu, why bragging now!!

 
kama uliweza kuzivumilia hizo kero mwanzoni inamaana uliona unazimudu, why bragging now!!

Binafsi sijawahi kuvumilia hizo kero, huwa nakuwa strict and bold since day one anaponikubalia na kuwekeana agreements.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…