Wanaume huwa mnakosea hapa!

Acha visingizio, mliagizwa mtupende, unaanzaje sasa kuacha kutupenda.
Kwanza unapaswa kuelewa mwanaume haanzi kwa kupnda huwa unataman kwnza kupnda ni bdae ila mwanamke ndo huwa anapnda ndo maana ukiacha maswala ya uchangudoa mwanamke anajitambua sio rahisi siku hyo hyo unakukublia lazma moyo wake ukupokee
 
Hao hata kama ukiwa trailer la hela, wakiamua kuliwa wanaliwa tu. Ile kitu iko natural. Kikubwa na kumjali, kusamehe, kumpenda na kumfanya na yeye kuwa sehemu ya wewe. Mambo madogo madogo yaache yapite hata kama yanakuumiza(sometimes)
Mengine, labla.
 
Waache wamegwe, nasi si tunamega pia??? Chakula cha aina moja kinachosha, varieties is the spice of life!!!!

Ushauri kwa wanaume wenzangu, zaa watoto watatu au zaidi tena haraka haraka halafu cheza ndondo cup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…