mmmh kweli ndo hutachepuka!??Nashukuru kwa namba moja.
Siku hizi ukitaka kuwa rafiki wa wanawake, au blog yako iwe na followers wengi, wewe andika mada hizi za kuwaweka wanawake safe side, na kufunika funika madhaifu yao huku ukiwashambulia wanaume.
Naona jamaa mmoja anaitwa somebody Chriss Mauki ana generate traffic kubwa sana kwa mada za namna hii.
Kasoma fursa, kaitumia fursa.
All in all life lazima iendelee
Wadada wanavyopenda masiha imaginary lazima watakuwa washamsumbua sana aiseee.Ha ha haaaa hiyo fursa ikija kugeuka, ndoa yake itakua taabani kama haipo kwenye mushkeli sasa hivi.
Chagua 1 kumegewa au just kutake care.Ugumu Upo wapi hapoHa ha duuh mzigo wote huo unabebeshwa mwanaume!!!! Alafu unafanya yote hayo bado itakuja ambiwa bebi wng hanifksh kileln...daah wanaume kweli tunamajarbu. Ila freshii tupambane na hali zetu maan hakuna namna
Wanaoshikilia Dunia Ni Wanawake..Mkeo anaweza akaamua uishi au usiishi.Kumbuka anapiga Chakula chako.Take care just be humbleSiku hizi ukitaka kuwa rafiki wa wanawake, au blog yako iwe na followers wengi, wewe andika mada hizi za kuwaweka wanawake safe side, na kufunika funika madhaifu yao huku ukiwashambulia wanaume.
Naona jamaa mmoja anaitwa somebody Chriss Mauki ana generate traffic kubwa sana kwa mada za namna hii.
Kasoma fursa, kaitumia fursa.
All in all life lazima iendelee
Nani alikwambia wanaoshikilia dunia ni wanawake??Wanaoshikilia Dunia Ni Wanawake..Mkeo anaweza akaamua uishi au usiishi.Kumbuka anapiga Chakula chako.Take care just be humble
Kuchepukaa kunachangiwa sana NA hupuuziwaaa...Kwani unadhani Ni wanawake wote wanaochepuka wanafuata Dushelele tu sijui kubwaa sijui nn.No ..Jibu la hayo Just take care!!Kwa sababu Nina Uhakika Mpaka mwanamke anamkubalia mwamme anakuwa hajafunguliwa zipu kuona Kitu Bali Huvutiwa NA kujaliwa au Zile Technic za Mapenzi..mengine mbwembwe tummmh kweli ndo hutachepuka!??
Haiwezi kuisha hiyo Ni Life..Mada zozote za wanawake zinalast longer kwa sababu Ndo maisha ya kila Siku..wanawake Ndo wanaotawala kwa mambo mengiiiiHa ha haaaa hiyo fursa ikija kugeuka, ndoa yake itakua taabani kama haipo kwenye mushkeli sasa hivi.