Mtumie inbox huu ujumbeDah! Kweli mambo yanakwenda kasi sana yahani wanaume wa hiki kizazi hawana tofauti na wanawake.
Wanaume hamujiamini kabisa, sijui tatizo ni nini?
Yahani mtu unaona mpenzi wako amesimama tu na mwanaume mwingine we unapaniki, then hata bila ya kujua kasimama na Nani wewe ushakumbilia jamii forum kuanzisha ka uzi full kulalamika, kama vile wamekuibia figo
Baba zenu walikua na busara na walikua wanajua kufanya maamuzi ndio maana walikua hawalalamiki kama nyie, unashindwa kujua wapi ni pakupata ushauri na jinsi ya kutatua changamoto za mahusiano yako unadhani ndoa ndio utaiweza.
Wanaume badilikeni sio kila kitu ni chakukimbilia kwenye mitandao kuomba ushauri.
Sasa mbona na wewe unakuja kulalamika hapa JF?Dah! Kweli mambo yanakwenda kasi sana yahani wanaume wa hiki kizazi hawana tofauti na wanawake.
Wanaume hamujiamini kabisa, sijui tatizo ni nini?
Yahani mtu unaona mpenzi wako amesimama tu na mwanaume mwingine we unapaniki, then hata bila ya kujua kasimama na Nani wewe ushakumbilia jamii forum kuanzisha ka uzi full kulalamika, kama vile wamekuibia figo
Baba zenu walikua na busara na walikua wanajua kufanya maamuzi ndio maana walikua hawalalamiki kama nyie, unashindwa kujua wapi ni pakupata ushauri na jinsi ya kutatua changamoto za mahusiano yako unadhani ndoa ndio utaiweza.
Wanaume badilikeni sio kila kitu ni chakukimbilia kwenye mitandao kuomba ushauri.
Wivu unatafsiriwaje?Mods please reakibisha hiyo heading ni WANAUME HIVI MMEKUAJE LAKINI
Na nyie wanawake muache umalaya wa rejareja unapata wapi ujasiri wa kusimama na mwanaume mwingine huku unajua kabisa unamume/mpenzi wako eneo hilohilo.Dah! Kweli mambo yanakwenda kasi sana yahani wanaume wa hiki kizazi hawana tofauti na wanawake.
Wanaume hamujiamini kabisa, sijui tatizo ni nini?
Yahani mtu unaona mpenzi wako amesimama tu na mwanaume mwingine we unapaniki, then hata bila ya kujua kasimama na Nani wewe ushakumbilia jamii forum kuanzisha ka uzi full kulalamika, kama vile wamekuibia figo
Baba zenu walikua na busara na walikua wanajua kufanya maamuzi ndio maana walikua hawalalamiki kama nyie, unashindwa kujua wapi ni pakupata ushauri na jinsi ya kutatua changamoto za mahusiano yako unadhani ndoa ndio utaiweza.
Wanaume badilikeni sio kila kitu ni chakukimbilia kwenye mitandao kuomba ushauri.
unazan kwa kipindi hicho cha wazee we2 kungekuw na socialmedia kam hii wasinge kimbilia kulalamik JF hum?????Dah! Kweli mambo yanakwenda kasi sana yahani wanaume wa hiki kizazi hawana tofauti na wanawake.
Wanaume hamujiamini kabisa, sijui tatizo ni nini?
Yahani mtu unaona mpenzi wako amesimama tu na mwanaume mwingine we unapaniki, then hata bila ya kujua kasimama na Nani wewe ushakumbilia jamii forum kuanzisha ka uzi full kulalamika, kama vile wamekuibia figo
Baba zenu walikua na busara na walikua wanajua kufanya maamuzi ndio maana walikua hawalalamiki kama nyie, unashindwa kujua wapi ni pakupata ushauri na jinsi ya kutatua changamoto za mahusiano yako unadhani ndoa ndio utaiweza.
Wanaume badilikeni sio kila kitu ni chakukimbilia kwenye mitandao kuomba ushauri.
Ni wote au hao wanaolalamika?Dah! Kweli mambo yanakwenda kasi sana yahani wanaume wa hiki kizazi hawana tofauti na wanawake.
Wanaume hamujiamini kabisa, sijui tatizo ni nini?
Yahani mtu unaona mpenzi wako amesimama tu na mwanaume mwingine we unapaniki, then hata bila ya kujua kasimama na Nani wewe ushakumbilia jamii forum kuanzisha ka uzi full kulalamika, kama vile wamekuibia figo
Baba zenu walikua na busara na walikua wanajua kufanya maamuzi ndio maana walikua hawalalamiki kama nyie, unashindwa kujua wapi ni pakupata ushauri na jinsi ya kutatua changamoto za mahusiano yako unadhani ndoa ndio utaiweza.
Wanaume badilikeni sio kila kitu ni chakukimbilia kwenye mitandao kuomba ushauri.
Yahani wewe ni bwege kabisa nenda kajifunze kuandika kwanzaDah! Kweli mambo yanakwenda kasi sana yahani wanaume wa hiki kizazi hawana tofauti na wanawake.
Wanaume hamujiamini kabisa, sijui tatizo ni nini?
Yahani mtu unaona mpenzi wako amesimama tu na mwanaume mwingine we unapaniki, then hata bila ya kujua kasimama na Nani wewe ushakumbilia jamii forum kuanzisha ka uzi full kulalamika, kama vile wamekuibia figo
Baba zenu walikua na busara na walikua wanajua kufanya maamuzi ndio maana walikua hawalalamiki kama nyie, unashindwa kujua wapi ni pakupata ushauri na jinsi ya kutatua changamoto za mahusiano yako unadhani ndoa ndio utaiweza.
Wanaume badilikeni sio kila kitu ni chakukimbilia kwenye mitandao kuomba ushauri.
Tutake radhi hao ni wavulana siyo wanaumeDah! Kweli mambo yanakwenda kasi sana yahani wanaume wa hiki kizazi hawana tofauti na wanawake.