Wanaume hii kitu ni sawa?

Sasa shidaa iko wapi hapoo? Mbona mm Niko na 33 na nina washikaj sana 20 tena wanangu sanaa yaan
 
sahihi kabisa mkuu
 
Kitu nmemuuelwa mleta mada ni kua jamaa ni ameoa na ana familia ,je ni sawa huyo rafik kua anashinda siku nzima yan asubuhi mpaka jion , kitu ingine ni kua wife kaona mda mwingi jamaa anautumia n'a huyo rafiki badala ya kukaa na family..kwa mim naona si sawa mtu kwenda kila siku kwa rafik na kushinda siku nzima especial kw aliyeoa..
Its oky kua mnakutana mitaani kupiga round siku ukiwa free lakn c kila siku,
 
Kijana wa kike au kiume?
 
Mkuu ukiona watu wanatembea pamoja Kuna jambo wamepatana, hivyo kwavyovyote kuna mutual benefits kati yao, wakati mwingine angali na background yao

Mimi wakati nikiwa mdogo nilikua na kampani ya watu walionizidi Marika na unakuta unaikubali kwasababu ndio sehemu pekee unapata mchongo wenye kueleweka tofauti na ukikaa na vijana wenzako, maana hata mawazo walikua wanakusaidia na unajikuta unaenda pouwa sana

Nimesoma chuo na madingi ambao nlikua nawasalimia lakini walikua wanakuja getoni tunashinda nao toka asubuhi adi jioni sometimes unaenda kwake na yuko na familia na kipindi hiko walikua Kwenye system tayari so akipata mchongo anakuwekea mezani maisha yanasonga

So swala la Kua marafiki ujue Kuna jambo linawaunganisha tu kwavyovyote sio lazima kuwawazia vibaya
 
Inawezekana vizuri tu maana kijana wa miaka 25 ni possiblr kabis kuwa na Mishe zenye maana na mtu wa miaka 35..!! Najua tatizo la mwanamke unaona kama jamaa anachukua nafasi yako hivii
Lazima uwaze vibayaa sema ongea na jamaa abalance ratiba sio iwe unakosa kabisa muda wa kukaa nar kuongea mambo yeny ya maana..
 
Wat huwa wanajaji negative
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…