Nae?Anna pita
Nakazia"Tena urafiki ule wa close kabisa kila sehem wako"
Dadavua Apo hadi chumbani wanafika na kujifungia?
Wacha tumsubiri wenda akawa na majibuNakazia
Ni kawaida, mimi kuba brother flani tulitokea kuwa marafiki akawa ananielewa sana toka nasoma chuo na nilikuwa kwenye twenties yeey kipindi hicho alikuwa kwenye 38 hivi na kaoa. Nilipokuwa likizo nilikuwa namsaidia biashara zake akatokea kunielewa sana. Nimemaliza chuo tukawa marafiki sana sana tukajikuta tuna hobbies zinafanana sote wapenda movie na series zinafanana. Nikaanza ishi peke yangu, akawa akijua niko home atakuja mapema asubuhi, lakini kilichokuwa kinamleta ni movies maana kwake alikuwa hawezi kutazama movies anazopenda kwasababu ya familia, so mimi nilikuwa na external ina movieskama gb 500 na nimeconnect kwenye screen. Atashinda sebuleni kwangu asubuhi mpaka jioni.Hi kitu imekaaje?
Mwanaume miaka 37 ameoa na anafamilia kua na urafiki na kijana wa miaka 25
Tena urafiki ule wa close kabisa kila sehem wako wote ikifika jion jamaa akitoka kazini kijana anaenda nae kwake wanakaa mpaka saa 4 usiku kijana anaondoka
Kama jamaa haendi kazini basi rafiki kijana ataenda kwa jamaa asubuh saa 3 mpaka usiku saa 4 Kama kutembea
Wanaenda pamoja
Mi nauliza je kwa mliioa hii nikawaida??