Sawa lakini vipi akijifanya akitaka huruma ya mwanamke kwa kujifanya mnyonge?
Chukua namba yake ,mpigie simu , tell him to f'uk off before you mess up his life, the gay has a lot to loose...
unamtisha tu,lazima atanywea tu,
Sawa lakini vipi akijifanya akitaka huruma ya mwanamke kwa kujifanya mnyonge?
unamtisha tu,lazima atanywea tu,
Mtu mwenyewe umri mkubwa huwezi amini anafanya ujinga huu.
Nina mpenzi wangu ambaye nimeridhika naye kwa kuwa ninampenda, na kama mapenzi ya Mola yatatimia ningependa awe mama wa watoto wangu. Ni mwanaume wake wa kwanza.
Ni binti mrembo, anajiheshimu, mpole kidogo, mrefu wa wastani, kwa kifupi ametimiza vigezo muhimu vya mtu anayefaa kuitwa mke wa mwanaume wa kiafrika, ikiwemo age gap ya miaka 4. Kilichonileta hapa jf ni kwamba kwa sasa yuko likizo kwa dada yake aliyeolewa. Mume wa dada yake amekuwa akimtaka kimapenzi huku akimuahidi kumpa pesa nyingi na zawadi kama atakubali kufanya naye mapenzi. Mpenzi wangu amekataa na kutaka kuondoka japo dada alimuomba aendelee kukaa hapo kumsaidia kwa kuwa ana mtoto mdogo.
Huyo bwana kuna siku huingia hadi chumbani kwa huyo binti wakati mkeo akiwa kazini. Jamani mimi huwa nina roho ngumu lakini hapa naumia nahisi kama anaweza kumuingilia kwa nguvu na kwa sasa sina uwezo wa kumuondoa pale. Ila jamani wanaume heshimuni ndoa!!!
Natamani nimuoe hata kesho ila yuko chuo anaingia mwaka wa pili.

kama huwezi kuandika kama mwanaume, utawezaje kufanya maamuzi kama mwanaume!!!
Kama una uwezo muoe haraka lkn ukizubaa jamaa atamtafuna tu...ukiona hakuambii tena story za huyo mume wa dada yake jua keshaliwa
Ni vyema huyo mchumba wako atafute sababu za kuondoka hapo. Kuliweka suala hilo wazi kwa dada yake ni jambo zuri, lakini linahitaji hekima sana maana mwisho wa siku anaweza kujikuta shemeji yake anamruka na yeye anaonekana mchonganishi na atakosana na huyo dadaake miaka yote. Pengine angeanza kwa kumrekodi maongezi yake kwenye simu na kutunza sms (kama aliwahi kutumiwa) ili siku akiamua kuyaweka wezi, basi kuwe na ushahidi wa kutosha.
Kama zoezi la kuhama ni gumu basi ni vyema awe makini sana na huyo shemejiye. Ajitahidi kumuepuka kwa kukaa naye mbali na kuhakikisha hapati muda wa kubaki naye wakiwa wawili. Chumba chake anapolala usiku au mchana kiwe kimefungwa ili kukwepa kufanyiwa vitendo vya ubakaji. Na yeye pia anatakiwa kuwa mkweli kwa kumwambia shemeji yake kuwa hayuko tayari kwa uhuni huo na pia atavujisha siri endapo ataendelea kumlazimisha. Tabia za utani na huyo shemeji yake aache na aoneshe seriousness kwenye mazungumzo yao kuwa hapendi tabia za kijinga.
Update
Hatimaye ameondoka hapo kurudi nyumbani kwao moshi