Wanaume hawajui mapenzi


Wanaume hawajui mapenzi? Umegundua baada ya kufanya na kiumbe gani?
 
Aaahhh ngono ina siri kubwa ata ufanyaje kwa mwanamke ni holaaa....
 
Dada kritika najuwa una hsira mpaka ukaamua ku-generalize hii issue. Usipende kuwaweka vijana na wanaume wa Dar katika mada kama hizi na kuhisi wanaume wote wako hivyo....wanaume wa Dar ni vigarasa tu, si wanaume wa kweli.
 

Ndio huyo huyo alietumbua mtaji au??
 
kwani si kuingiza tu au kuna kingine? mapenzi yapo kwa ajili ya kuzaliana tu na si kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…