Pesa ni kitu cha kubadilishana kwa bidhaa au huduma, hivyo si kitu cha kukiweka ni bora utafute njia ya kuzalisha pesa na wakina mama ndiyo wanaweza kuwa wazalishaji wazuri wa pesa kuliko wakina baba, mpe mkeo mtaji wa biashara na si vijisenti ili uone maisha yako yatakavyobadilika kiuchumi.