hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 54,396 Reaction score 80,358 Dec 17, 2017 #41 rikiboy said: Nina wawili Hapa wanasubiri mpaka nianze kuwatumia msg ndo wajibuu... Nadhani hawana siku nyingii.. Wanawakee ni wengii sanaaa aiseee... Click to expand... yaani mimi hilo ndio huwa siwezi kumtafuta MTU asiyetaka kunitafuta !!! huwa nafanya Mara 2 tu nikiona unareply shortly nafuta namba mamaeeee sitaki stress Mimi niwaze mahela niwaze mwanamke kichwa chenyew hikihiki kimoja ??
rikiboy said: Nina wawili Hapa wanasubiri mpaka nianze kuwatumia msg ndo wajibuu... Nadhani hawana siku nyingii.. Wanawakee ni wengii sanaaa aiseee... Click to expand... yaani mimi hilo ndio huwa siwezi kumtafuta MTU asiyetaka kunitafuta !!! huwa nafanya Mara 2 tu nikiona unareply shortly nafuta namba mamaeeee sitaki stress Mimi niwaze mahela niwaze mwanamke kichwa chenyew hikihiki kimoja ??