Wanaume Hatuchepuki kwa Mapenzi yetu!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi mtoa mada nahisi anatafta huruma apewe go ahead, aliwah kusema ana mwanamke mashaallah na hafikirii kumuacha leo kumbe ana mchepuko sasa, akaja na thread kua ameibiwa hela na amekosa mapenzi na girlfriend wake anataka kumuacha, simwamini na story zake
 

Hakuna namna n kuchepuka tu
 
Bahati Nzuri Sina Bla Bla na sipo kumuaminisha mtu! au Kumbadili mtu!
 
Nyie chepukeni tu,wake zenu nao wana vichenchede vyao huko vinawakaza vizuri, msije kumlaumu mtu
 
Nina wawili Hapa wanasubiri mpaka nianze kuwatumia msg ndo wajibuu... Nadhani hawana siku nyingii.. Wanawakee ni wengii sanaaa aiseee...
 
Mkuu hawa viumbe ukiwa mwaminifu ndiyo wanakuchukulia fala,ila ukiwa eat and run wanakuona mjanja na watakupenda kila mmoja kivyake,maana kunakuwa na upinzani wa wao kwa wao
 
hahaahaaaaa daaahhh humu ndani ni medicine tosha kwaajili ya stress
kwanza mimi hizo mambo zakubembelezana huwa siziwezi aisee
ukinizungua nafuta namba faster then mikaushi mikali
ila tukionana naongea nawewe vizuri tu kama vile sina kinyongo ukikausha namimi nakausha ukishoboka nakushobokea kama kawa
ukijiskia kuleta papuchi leta ukimind poa siilipii vat mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…