Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,305
- 3,218
sio fair mimi Busu la Kenge amenihonga mansion na sijampea bado
Nina ushaidi wa wanaume ambao kwake kulikuwa zero halafu mchepuko akampa kila kituUkiona mwanaume anahonga hayo kwa mchepuko ujue kwake ana zaidi ya hayo aliyo muhonga mchepuko hakunaga mwanaume bwege kiasi hicho