Wanaume,,Bikra iko hivi

zimeenda wapi sasa maanake umesema ulikuwa...........past tense

Miaka ya mwanzoni O'level niliwish kuwa rubani; Katika maisha pia kuna wakati niliwaza niwe nimeoa nifikapo umri flan, umri huo ulipita na kupita. Ni kama hivyo, mindoto mingi nimeitupa na kuendana na reality. Pamoja na meng nlowahi kusikia kuhus kuoa bikra (+ve & -ve), kwangu mimi akitokea huyo bikra ni poa! na asipotokea pia poa! Note: Mimi namaanisha bikra kwa kutojua tendo la ndoa.
 
vizuri sana mkuu na i wish u the best kumpata bidada ambaye hajawahi kujua mambo fulani,ila naomba nikuulize swali la kizushi unamtaka sana huyo bikra je wewe ni bikira?
 
vizuri sana mkuu na i wish u the best kumpata bidada ambaye hajawahi kujua mambo fulani,ila naomba nikuulize swali la kizushi unamtaka sana huyo bikra je wewe ni bikira?

Hiyo nyekundu sio mimi. Ulinielewa vizuri na sikuhtaji kuongeza; zilikuwa ndoto, na ni past! Sio kwamba niko neutral katika sifa hiyo kwa kuwa nami sina, ila ni kwa sababu huwa najitahidi kuelewa watu na hali mbalimbali pamoja na kuendana nazo/nao. Achilia mbali swala la bikra, naweza kuoa yeyote maana naamini katika mabadiliko na sina shaka na uwezo wangu wa kuwatuliza ndani ya nyumba hao jinsia nyingine. Bilashaka swali lako la kizushi pia nimeweza kulijibu.
 
hahahahahaaa evelyne umeniua jaman,, ivi ile kaisiki ndo kazi yake eehh?? inapatikana wapi,, nataka nijirudishe kwenye ubinti hahahahaha
 
muombe MUNGU akupe wa kufanana na wewe
 
nimekusoma vizuri sana mkuu ila naomba nikupe ushauri wa bure tafuta mdada ambaye mko naye status moja,vinginevyo mtatesana.
 
mambo poa.......hizo ni uzushi bana ni mpango tu wa kunizibia mie!!!!japo nimechelewa ngoja nikupe siri za kaisiki.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…