Wanaume bhana mna mambo


Na wewe unayefanyiwa lab kwa dunia ya sasautakubalije kufanywa bila condom na magonjwa yote hayo utakubalije kuingiliwa pekupeku kwa mfano au unategesha upate mimba ili uolewe
utakubalije kufanywa peku peku na mwanamme asiyekuoa
 
Imeshindikana kwani P2 ni masaa mawili inafanya kazi ila kwa sasa anamwezi ila nyie sio wazuri mnapotezaga dira za watu wengine.
wote sio wazuri kwanini asimwambie muhusika anunue condom zenye quality au kwanini ilipopasuka usimwambie atoe nyoka wake
 
Sasa kama wewe unajua kuzaa ni mipango kwanini unatanua Papuchi hiyo na unakubali kumwagiwa tena na kilio cha utamu kolea juu?
 
wanawake mimi huwaga siwaelewi kabisa wakishikwa na genye husahau kila kitu mwisho unalaumu eti umeachiwa mazagazaga
 
Hata akimwagiwa mdomoni hapati mkuu[emoji28]
 
tatizo wanawake hata akiwa katika siku za hatari yeye anatumia njia ileile haogopi mimba akinasa anaanza kulalamika
 
Kumbe akili mnazo ila wavivu wa kuzitumia kabla ya tukio huwa inakuja baadae sana. Kwanza ilaiumu nafsi yako kwa kutokuwa sikivu. We toka utoto unafundishwa kuwa uzinzi ni dhambi we unakaza shingo unataka kuthibitisha. Yaani nyumba za ibada zimekuwa kama sehemu ya kwenda kufanya mauzo tu. Hayo ndo matokeo ya ubishi. Ila atukuzwe Mungu aishie milele amekupa fundisho amekuacha uwe hai kwani kuna wenzako uzinzi umewaua kabisaaa. Sasa utubu na kuacha dhambi kabisa. Akija mwanaume mzinzi ujue ni wakala wa shetani ukimwambia I love you too ujue umempenda tena shetani atakupa mshahara mwingine. Pole kwa yote Ila Mungu wa mbingu na nchi hatakuacha maana huyo mtoto ni Mali yake na atamtunza na kimlinda siku zote. Shaka ondoa huyo ndo baraka kipato choko ndani ya malango yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…