Wanaume bhana mna mambo

Pole katoto kazuri, vumilia tu uzae, usitoe mimba
 
wa kujilaumu ni wewe, kwani mimi najua siku zako za hatari!? ulinipa papuchi nikaisugua na uliona kabisa hatutumii condom sasa unakuja kunitangaza huku ili iweje!? ila i will miss you baby girl
 
Pole sana. Yqmekukuta Nini. Njoo nipo singo boy hapa. Tumleee huyo mtoto
 
Hivi kubeba mimba inakuaje mwanaume aamue kama hamkutumia kinga? Au alikudanganya anamwaga nje akaloeka?
Rafiki yangu nae aliniambia alipewa mimba na bf wake bila yeye kujua eti mwanaume ndie alijua leo akitia imo. Sikumuelewa kwa kweli
 
Hivi kubeba mimba inakuaje mwanaume aamue kama hamkutumia kinga? Au alikudanganya anamwaga nje akaloeka?
Rafiki yangu nae aliniambia alipewa mimba na bf wake bila yeye kujua eti mwanaume ndie alijua leo akitia imo. Sikumuelewa kwa kweli
Eh rafiki yangu mpenzi kafanyiwa hivyo.
Yule dada alihamishwa kikazi alikuwa anaishi huku Arusha ndio akapata uhamisho akapelekwa Mwanza .
Sasa ile kapewa uhamisho tu kabla hajaenda akaambiwaje umepewa wiki mbili tu yakujiandaa akadai sawa .
Akaenda kwa furaha kumuambia mpenzi wake .
Mupenzi wake akamwambia nitakupa zawadi ambayo hutonisahau yule dada akadai zawadi gani akamwambia ukifika huko utaona.
Dah wiki moja ambayo anaona zile mambo haoni akasema ngoja wiki hii ingine ipite labda kwa ajili ya hali ya hewa.
Alikaa jamani wala hajaona kwenda hospitali unamimba ya mwezi mmoja na best yangu kasema hatoi ng'o.
Basi ni kaamua yeye huwezi fanya lolote ila kweli kamfanyia ubaya.
 
Hahahahahaha akiipasua wewe mnyime tuu kwani vipi
Hujui amepasua saa ngapi.
Mimi nakumbuka mtu alinifanyia ujanja dah akapasua wakati wa mechi ile tu anafanya jitihada zakutaka kunipa huyo mutoto.
Nikamsukuma nikakuta lilichana saa nyingi .
Nilimlamba kibao nadhani hajasahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…