Wanaume badilikeni

minagirl

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
269
Reaction score
35
Wanaume jamani badilikeni laa sivyo mtajiua kila siku na kuuwa wenzenu.aslimia kubwa ya wanaume hawajui mapenzi. Wao wanadhani ili wapendwe wawe na pesa tu! Mnakosea, mwanamke ali akupende anahitaj mapenzi, ukiona mwanamke yupo na ww kwa sanana ya pesa ujue haupendwa kwa hiyo lazima mtu atatafuta mtu wa kumpa mapenzi.

Napo sema wanawake wote tunahitaji mapenzi namaanisha mambo haya mawili ambayo kama mwanaume amejaaliwa katu mwanamke hawez kumkimbia

1;ujuzi wa kumfikisha mwanamke kileleni.
Hapa jamani ujuzi tu ndo unatakiwa. Haijalishi unagoti, mguu wa mtoto wala kibamia unaweza ukamfikisha mwanamke kileleni. Usidhani kwamba kwa kutumia kwako nguvu ndo mwanamke atafika wala kuwa kwako na dude kubwa kwamba ndo ujuzi. Kumfikisha kileleni mwanamke anahitaji umuandae vizuri mpaka unapoona anatamani akuvutie kwake ndo anakuwa tayari. Sasa tatizo wanaume wengine yeye ikishaamka tu anataka aparamie kama jogoo, ka! Na katika kuanza kazi yenyewe wengine hudhani ni kuingia tu na kutwanga kama vile unatwanga kisamvu kwa nguvu nyingi, jamani sio hivyo. Mnatukosea, unapoanza kazi yenyewe tumia ufundi, unatakiwa uanze taratibu kwa kumsoma ni wapi anapata raha na wapi hapendi aguswe, ukishajua sehemu inayomkuna ndo unaongeza nguvu mpaka anafika kileleni au mfike pamoja. Hapo hauwez kukimbiwa labda ushindwe katika kipengele kinachofuata.

2;kumjali(care)
kipengele hiki kina mambo mengi na ni kizito pia, ni pamoja na kusikiliza mawazo yake, kumshauri, kumsifia anapofanya vizuri au anapovaa vizuri, kumpa zawadi, kumsuprize,
kuonesha kwamba unamjali kwa mfano kutumia condom kama hamjafunga ndoa, kumpigia sm mara kwa mara ila sio kwa kumkera, kutumia lugha nzuri katika kumuliza pale unapohic kuwa amekosea, kuwa muwaz kwake, kuwa mkweli, kubeba matatizo yake kama yako, mchukulie kama mdogo kwako na umuoneshe kwamba unampenda hata mbele ya watu. Kuchat naye mara kwa mara, kumsaidia kiuchumi kulingana na uwezo wako hata kama unahic anapesa kuliko wewe, mdekeze mwenzio, na mwisho kumuelewa anapokuomba msamaha.hapa mwanamke atajihc yuko peponi

Kama utaweza mambo hayo huwezi kukimbiwa na mwanamke, hautojuta hata siku moja na roho ya kujiua itakaa mbali na wewe.
Chukueni soma ndugu zangu sio kila siku kulialia tu. Yangu kwa leo ni haya ila unaruhusiwa pia kunipinga.
 
Tushafanyaga hayo yote na Zaidi ila wanawake wengine ni manyang'au hawaridhiki hatu uwafanyie nini....ila ni Tabia tu ya ntu na ntu...
 
Tushafanyaga hayo yote na Zaidi ila wanawake wengine ni manyang'au hawaridhiki hatu uwafanyie nini....ila ni Tabia tu ya ntu na ntu...
kweli kaka wengine ni mifupa iliyomshinda fisi...kuna watu hawajui kupendwa ...
 
embu ondoka hapa si ukaact pono huko kama we injini kiuno! watu tuna waza future hapa unatujazia server na story zako!
we kua injini kiuno halafu siku huna hela mkeo aje kwetu kutuburudisha tuwapatie kula! specialization!
 
Sometimes Unakuta mwanamke havutii, chini ana mfuko wa Rambo na Maji kama sehemu ya kuogelea, kujiweka msafi kazi kwake n.k Kwa nini perfomance ya mwanaume isiwe mbovu? mashine italala baada ya bao moja tu. Wanaume tunapata hamu ya kufanya mara nyingi zaidi endapo tuna enjoy na kufurahia kile kitendo. Wanawake badilikeni msifikire kuridhishwa nyinyi tuuuuuu. Angalieni je na mwenzangu ameridhika? Jitumeni ongezeni mautundu ili turidhishane.
 
Tatizo watu wanadhan pesa inanunua kila kitu. Yupo bize kutafuta faranga hana hata muda wa kukaa na familia yake.
 
kwahiyo unataka kusema kuku hapati/hafiki kileleni maana jogoo anafukuza na kupalamia
 
Sasa sie tufanyeje wengine wapenzi wetu wapo mbalii kuja mpaka hata baada ya miezi 7au 9 ndio anakuja unafikiri huku chini hapatekenyi,watuue tuu wengine
 

Hivyo vitu viwili vinatakiwa kwenda sambamba ukipunguza kimoja tu jua cheatin inakunyemelea..unaweza mwanaume ukajua kucheza style zote za 6 kwa 6 kama alingo,azonto,kiduku mpaka baikoko na warumba bt ukiwa hauna care inakula kwako,the same as hata ukiwa unatoa hela zote za epa na vinginevyo kama huwez kukaza msuli kunako.......... Ndo kabisaa bye byee kuubwaa
 
natumai wachaggga saa hizi wanawaza uchagani na sio mapenzi watakaporudi januari ndo watajifunza kupitia uzi huu
 
Tushafanyaga hayo yote na Zaidi ila wanawake wengine ni manyang'au hawaridhiki hatu uwafanyie nini....ila ni Tabia tu ya ntu na ntu...

sikubaliani na wewe, kuna sehem tu ulikuwa unakosea
 
kweli kaka wengine ni mifupa iliyomshinda fisi...kuna watu hawajui kupendwa ...

itakuwa ulikutana na mjuzi wa kuigiza. Wapo wa hivyo pia, yani hata kama haumridhishi huwez ukajua, anajifanya anaenjoy kumbe humkuni wala nn.
 
embu ondoka hapa si ukaact pono huko kama we injini kiuno! watu tuna waza future hapa unatujazia server na story zako!
we kua injini kiuno halafu siku huna hela mkeo aje kwetu kutuburudisha tuwapatie kula! specialization!

yaelekea nimekugusa, nashukuru ujumbe umefika, mimi ni ke kwataarifa yako na huu uzi nimeuanzisha kwa manufaa ya watu kama wewe,
 

hayo ni kwaajili ya mwanamke wa maisha yako, uliemchagua kuwa kipenzi cha maisha yako. Simaanishi mwanamke yeyote utakaye kutana nae
 
Tatizo watu wanadhan pesa inanunua kila kitu. Yupo bize kutafuta faranga hana hata muda wa kukaa na familia yake.

hapo ndo wanapokosea, pesa inanunua ngono hainunui mapenzi
 
Sasa sie tufanyeje wengine wapenzi wetu wapo mbalii kuja mpaka hata baada ya miezi 7au 9 ndio anakuja unafikiri huku chini hapatekenyi,watuue tuu wengine

kama yuko mbali kipengela namba mbili kihusike ipasavyo katika kuimarisha mapenzi yenu
 

ni kweli na akiweza vipengele vyote mwanamke atoke ukatafute nn cha ziada?
 
Tatizo watu wanadhan pesa inanunua kila kitu. Yupo bize kutafuta faranga hana hata muda wa kukaa na familia yake.
Mkuu mlisha badilisha mtazamo tena? Ule motto wa pesa mbele mengine tutavumiliana ulikwisha expire au mnaenda na mood ya cku husika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…