wanaume acheni kuvaa bikini!

hasason

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
1,648
1,538
ivi kwel ni sawa kwa wapenz kuvaliana nguo za ndan et kisa they a totally in lov he mbona n vioja unapanda daladala unashanga mwanaume mzima amevaa bikin mbaya zaid amevaa kata k unaweza ata kufikiriwa vingine aaahh! badiliken!
 
Hamna wewe utakuwa umechanganya madesa, kuna THONG za kiume zimeingia mda mda kidogo, sasa ndo utakuwa umeona mtu kavaa design hizo. Sidhani kama Engine ya mwanaume inatosha kwenye G-STRING ya kike!!!!! Chupi zenyewe zile 1960s zinaelemewa nusu kuchanika. Thong za kiume zipo kama Bikini ila mbele zinakuwa pana, afu mterial tight kama boxer, na hizi wale wagonjwa wenzangu wa ECZMA(sijui kama nimepatia spellings) wanaume ndo wanashauriwa wavae hizoo, coz boxer inaongeza vipele na muwasho! Usipime kuwashwa ndani ya boxer mbele za watu!!!! Wanawake ndo inashauriwa wavae thong na g-string
 
unachukua masomo ya nguo za ndan chuo gan mpendwa!
Couse u know till the histry in deep!
 
Hahaaah! KAMASUTRA UNIVERSITY OF 6*6, B.A (Hons) in sexiology with bedstyleography!!!! Hiyo nimemaliza na G.P.A 4.5 na kupewa scholarship ya Masters Sexiology with Investment Financing ndo namalizia Thesis!!!! LOLEST!!!! NANI KANUNA????!!!! NICHEKE NIONGEZE MAISHA MIE!

mmh! and hons included seems as it is a property of a certain secret society oops am les dea!
 
Hamna wewe utakuwa umechanganya madesa, kuna THONG za kiume zimeingia mda mda kidogo, sasa ndo utakuwa umeona mtu kavaa design hizo. Sidhani kama Engine ya mwanaume inatosha kwenye G-STRING ya kike!!!!! Chupi zenyewe zile 1960s zinaelemewa nusu kuchanika. Thong za kiume zipo kama Bikini ila mbele zinakuwa pana, afu mterial tight kama boxer, na hizi wale wagonjwa wenzangu wa ECZMA(sijui kama nimepatia spellings) wanaume ndo wanashauriwa wavae hizoo, coz boxer inaongeza vipele na muwasho! Usipime kuwashwa ndani ya boxer mbele za watu!!!! Wanawake ndo inashauriwa wavae thong na g-string

Yaani nimesoma haya maelezo nikajikuta sina cha kuandika tena. Umeongea kweli tupu bro. nadhani mtoa mada atakuwa ameelewa japo ninauhakika aliandika bila kutafiti.
 
Hamna wewe utakuwa umechanganya madesa, kuna THONG za kiume zimeingia mda mda kidogo, sasa ndo utakuwa umeona mtu kavaa design hizo. Sidhani kama Engine ya mwanaume inatosha kwenye G-STRING ya kike!!!!! Chupi zenyewe zile 1960s zinaelemewa nusu kuchanika. Thong za kiume zipo kama Bikini ila mbele zinakuwa pana, afu mterial tight kama boxer, na hizi wale wagonjwa wenzangu wa ECZMA(sijui kama nimepatia spellings) wanaume ndo wanashauriwa wavae hizoo, coz boxer inaongeza vipele na muwasho! Usipime kuwashwa ndani ya boxer mbele za watu!!!! Wanawake ndo inashauriwa wavae thong na g-string

Nakubaliana na wewe, zipo za kiume, lakini nadhani tusiyapuuze hata kidogo maneno ya ESSIONER maana baadhi ya vijana matozi wa hapa mjini hao ndo wanaweza kuwa wamechanganya badala ya kuvaa za kiume mtu akapiga za kike na mbaya zaidi, akalegezea, aibu! Maana baadhi yao wanaiga iga tu bila kufahamu nini cha kuvaa na wapi! Kama ulikuwa unaangalia EBSS ungeona jinsi baadhi ya vijana matozi toka wilayani walivyokuwa wanajifunza kutupia pamba kama diamond na wasanii wengine, ungewaonea huruma.
 
Nakubaliana na wewe, zipo za kiume, lakini nadhani tusiyapuuze hata kidogo maneno ya [MENTION]ESSIONER/MENTION] maana baadhi ya vijana matozi wa hapa mjini hao ndo wanaweza kuwa wamechanganya badala ya kuvaa za kiume mtu akapiga za kike na mbaya zaidi, akalegezea, aibu! Maana baadhi yao wanaiga iga tu bila kufahamu nini cha kuvaa na wapi! Kama ulikuwa unaangalia EBSS ungeona jinsi baadhi ya vijana matozi toka wilayani walivyokuwa wanajifunza kutupia pamba kama diamond na wasanii wengine, ungewaonea huruma.

me nmeshuhudia kabisa by my naked eyes mpaka nkashtuka na c o m1 we hav a long way to go with dis dressing-disorder!
 
Lakini kwani ukivaa nguo za ndani zikionekana ndo fashion? Me huwa nachukia sana Mwanaume WENZANGU kutembea kila kitu nje...TUACHE kuiga vitu visivyo na maana, TUWE SMART
 
Hahaaah! KAMASUTRA UNIVERSITY OF 6*6, B.A (Hons) in sexiology with bedstyleography!!!! Hiyo nimemaliza na G.P.A 4.5 na kupewa scholarship ya Masters Sexiology with Investment Financing ndo namalizia Thesis!!!! LOLEST!!!! NANI KANUNA????!!!! NICHEKE NIONGEZE MAISHA MIE!

''seeeeenkyuuu veli macheeeeee'' nimemquote mama spika mjengoni
 
vazi lolote ambalo lina mushkeli sio vazi sahihi hizo mnazosema ni za kiume ni kwa sababu wabunifu wa mavazi wamegundua kwamba kuna wanaume wanapenda kuwa kama wanawake ndio na wao wakawatengenezea.halafu mtoa mada rekebisha kidogo kwa kuandika''wanaume wenye tabia za kike mkivaa vitu vya kike mjisitiri vizuri basi'''kwa sababu zotwe huacha makalio nje na kwa nini mwanaume uache ****** wazi kama hufanyi kazi tigo.vya kike vya kike na vya kiume vya kiume basi.
 
Hivi bikini jamani si chupi + sidiria ?

Toka nimesoma nyuzi hizi nimekuwa najiuliza kinachozungumziwa. Mkuu uko sahihi, bikini ni vazi la ufukweli la wanawake na linajumuisha na sidiria. Huwa ni piece moja au mbili kulingana na ubunifu. Mleta uzi ameelezea bikini kama thong au kitu wanaita G-string. Nadhani alikusudia kusema wanaume wanaovaa g-strings, sio bikini.

Bikini haivaliwi dani ya suruali, gauni na vitu kama hizo!!
 
ivi kwel ni sawa kwa wapenz kuvaliana nguo za ndan et kisa they a totally in lov he mbona n vioja unapanda daladala unashanga mwanaume mzima amevaa bikin mbaya zaid amevaa kata k unaweza ata kufikiriwa vingine aaahh! badiliken!
wanawake nao waache kuvaa ma bukta yanawa pwaya...........
 
mkuu jaribu hata kugoogle maana halisi ya neno bikini, then upime na huo mfano wako wa suti...uone ni jinsi gani ulivyoenda chaka

my argument was y men wear bikin and not how bikin looks like!
 
Back
Top Bottom