kama swala hili halipo mahakamani basi wataje ila kama lipo mahakamani basi usiwataje usije kuharibu ushahidi.muache kabisa.....tena wengine wamo humu....nawajua.....
Tumeacha ila nanyi mjifunza utambuzi wakutambua muoaji na mpitanjia ambae kajificha kusubiri mvua ikatike ili aendelee na safari.
kama swala hili halipo mahakamani basi wataje ila kama lipo mahakamani basi usiwataje usije kuharibu ushahidi.
Ndugu kuwa makini jinsia zote ziko na tatizo hili, I LOVE YOU! nyingi kumbe wizi mtupu.Helo wana jf, mm n mgeni humu ila nataka kufikisha tu kinachonikera kwa wanaume,
Unakuta Mwanaume huna nia a dhati kwa mdada fulani ila unamfuata na kudai kuwa unampenda na pia unahitaj awe mkewe siku za mbeleni na huku ukijua wazi unayoongea ni uongo ila tu unataka kumchezea tu mdada wa watu na kumuacha solemba. Jamani wadada mara nyingi huwa ni waaminifu kwny relationships lakini Wanaume ndio mnawaangusha kwa kuwaharibia hisia zao. utakuta Mdada akili yote iko kwako lakini unaamua kumtosa na kumuacha ateseke, sio vizuri wanaume acheni hii tabia!
Nawailisha..........
ok ngoja tusubiri upelelezi.kesi ipo mahakamani.....
Aaaah..kwahiyo mnafanya kusuuudi eeeh?? Ndo maana mkikaa vibaya mnaliwa pesa zenu then mnaisha kunung'unika na kutukana..
subutuuu! Ujidanganye kumwambia ukweli ikamate kwako,mie ambae nitamwambia kuwa baba yangu mie ni fisadi ndie anae miliki mgodi wa dhahabu wa buzwagi nk,nk uone kama sibebi mzigo.Nyie mnajua fika kuwa bila kudanganywa hamkubali!
weeeee wanawake wa siku hizi waooongoo wanadanganya hadi salamu.
kesi ipo mahakamani.....