Wakuu,
Hawa wana "UKAWA" wa Scotland walionekana mambo yao yatakuwa shwari na watawadanganya wapiga kura wakubaliane nao lakini wengi walishtuka na kupiga kura za "No to Independence!"
Huku kwetu nako wana-UKAWA wa kikweli kweli wanaamini kuwa watawashawishi watu wakubaliane na Serikali 3 (= kuvunja Muungano) lakini hila zao zitashindwa vibaya baada ya kura za maoni ili kupigia kura Katiba Mpya!
Poleni sana wana-UKAWA! Watu wameshaamka, wamegundua hila zenu!
Rudi shule ukapanue akili ..... unajaza pumba zako tu hapa!

Scotland walitaka uhuru na kujitenga kila mtu awe na serikali yake, yaani ile moja ziwe mbili!!! Ukawa wanataka tatu na muungano uendelee, sasa wewe uwezo wako wa kifikiri jumlisha na kukosa usingizi kisa Ukawa unatumwagia hizi pumba hapa. Fikiria, ukawa wanazungumza kuhusu muundo wa muungano si kuvunja muungano. Kusoma Rasimu ya Katiba huwezi au hujui kusoma urudi shule?
Istoshe, hayo ni Matakwa mawili tofauti. Acha kujitoa akili
Una akili sana mkuu! Ulterior motive ya UKAWA ni kuvunja Muungano na ndio maana waliwatukana hata Waasisi wa Muungano!we nae kwa kujitoa akili umejaaliwa sana. Hivi kwa akili zako unadhani katika viongozi wa UKAWA yupo hata mmoja anayependa muungano uendelee? Nitajie, na endapo hila zao zitafanikiwa (Mungu atuepushie mbali) Ndipo hasa utawagundua undani wao. Ni wanafiki wakubwa na hawautaki Muungano kabisaa.
Una akili sana mkuu! Ulterior motive ya UKAWA ni kuvunja Muungano na ndio maana waliwatukana hata Waasisi wa Muungano!
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Mkuu katika pitapita zako mtaani umewahi kusikia watu wanazungumzia kukerwa na Serikali 2?usilolijua litakusumbua,serikal 3 siohoja ya ukawa, pili muungano hauvunjwi na idadi ya serikal.mwisho hizo idad zimependekezwa na wananchi na warioba akaziratibu. sasa mwekiti angekuwa mbowe,slaa au mtu yeyote anayetoka upinzani si ndo pangechimbika?.Warioba mlimwamini tukamwamini ila mnachomfanyia sio sahihi labda kama mnamakubaliano naye ya siri.
Nani kakwambia kwamba CCM hawataki referendum? Kila jambo lina wakati wake! Wana-UKAWA wao ni kulazimisha kila kitu kifanyike wanavyotaka wao!Mtoa Mada,sasa kwann ccm hawataki referendum kujua kama wananchi wanautaka au hawautaki? kipi kinawazuia magamba?zanzibar kwanza.