Wanatuhitaji tuwafariji na epe youth group

Bugals Edward

Member
Joined
Jan 13, 2018
Posts
37
Reaction score
7
Karibu kwa mkazi wa Mbeya kuwafariji watoto yatima Katika kituo cha watoto yatima IWAMBI Mbeya ni siku ya jumamosi ya tarehe 10/02/2018 na wewe ulieko nje ya Mbeya, unaweza kwenda Katika kituo Karibu yako....
 
Karibu sana, ndugu hata ukiwapelekea kakitu kadogo huko uliko watashukuru, Asante sana
 
kuwapiga picha na kuweka kwenye tangazo kwa muono wangu Mimi "Naona unawadharirisha" japo lengo lako sio baya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…