Wanatech nani anaweza ku-unlock hii

Wanatech nani anaweza ku-unlock hii

FUJISTU

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
261
Reaction score
93
Untitled 1.jpg

HUAWEI Ascend Y200, U8655-1 ....... ilillockiwa na mtandao wa tigo ila bahati mbaya sikulijua hilo na nilipobadilisha chip kuweka nyingine (ya voda) ikanidai (SIM network unlock PIN) ... bila kujua nikafikiri ni PIN code za kawaida na baada ya kuingiza kama mara 3 ikajiblock now inadai (unblock SIM BLOCK) codes ambazo sizijui na nimehangaika sana ila bado sijapata solution...mwenye msaada wa kujua solution ya hili hili tafadhali :yo:
 
View attachment 88332

try this broo huwai.PNG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom