WanaTech mnaonaje price ya iPad min kuanzia $330 mawazo

i411

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
906
290
Mimi naona hawa jamaa Apple wanajiamini sana kuingia kwenye hii market ya 7" na kuuza kifaa chao for $330 wakati wengine wanaanzia $200. Hata mimi nilizania kitakuwa labda kuanzia $250. Lakini pia nataka kukumbusha hawa jamaa wa apple wao wanatenge vifaa ndo vinavyo waingiziaa hela sana kwenye biashara. Kina google na nexus 7 na amazone kindle wao kibiashara wanapata hela zaidi kwenye matangazo na biashara ya online kwahiyo wanaweza wakacompromise. Ukimwangalia sumsung naye analundo la mavifaaa anayotengeneza pia anaweza compromize hapa na bado akapata viprofite na kuwafurahisha wateja wake teyari alionao. Yangu hayo tuu lakini labda tusubirie mauzo report hapo monday au tuesday ya pre-oders.
 
hata wangeuza $380 watu watanunua tu, hawa jamaa sijui wanatumia mzizi gani???
 
hata wangeuza $380 watu watanunua tu, hawa jamaa sijui wanatumia mzizi gani???
Kumbuka $330 ndo bei inapoanzia kwa ile ya Wifi only
Screen Shot 2012-10-27 at 10.19.31 asubuhi.png
 
hata wangeuza $380 watu watanunua tu, hawa jamaa sijui wanatumia mzizi gani???

Yah ni kweli

kuna kitu kwenye demand kinaitwa past experience mtu atafkiria yani nimenunua iphone au ipad ya 16gb kwa usd 800 then hii inauzwa usd 300 akili ya average user lazma ataona very cheap (average user hawaangalii specs)

I think zitauza sana tu
 
apple wanajiamini sana. by the way wateja wake wapo, watauza tu.
 
mimi nasubiri google nexus 7 3g sijui itauzwaje us na hapa bongo, nahisi ndiyo itakua tab yangu ya kwanza!!!!!
 
Bei utalia mkuu bora ununue online
chief nataka ninunue ipad kwa ajili ya matumizi ya chuo,sijaelewa wanavosema ipad min 1 ya wifi,je hizi za wifi hazitumii lini zetu za tigo voda na airtel au ni vipi.vipi lg g8.3 v500 wifi ukilinganisha na min apple
 
kaka unayo laptop? kama huna achana na ipad tafuta laptop maana ipad ni simu yenye kioo kikubwa tu haitafanya mambo mengi.

ipad mini wifi au lg gpad wifi inamaanisha haitaingia line. ila zipo ipad mini na tablet nyingi zinazoingia line sema tu zinakua na bei kubwa tofauti na za wifi
 
Back
Top Bottom