Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
Miaka hiyo ya 1980's tulianza na DOS then C: prompt!...Wanaichukia Internet.
Wanatumia Internet kumhujumu Dr. Slaa. Tunatumia Internet kufahamu walichokifanya na hata walipofanyia conspiracy nzima.
Tulianza na Windows 3.1, ikaja Windows 95, Ikaja Windows 98, Ikaja Windows 98SE, Ikaje Windows Me, Ikaja Windows NT, Ikaja Windows 2000Pro, Ikaja Windows XP, Ikaja Windows Vista, Sasa Tuko Windows 7.
Mabadiliko yote haya yanahitaji Memory kubwa na CPU speed katika kipimo cha Mega. Fikra za Watanzania wa leo zipo katika kipimo cha Mega kama siyo Giga au Tera.
Kutoka Linux Command-based mpaka Linux GUI version.
Kutoka IDE mpaka SATA.
Kutoka Floppy mpaka USB flash disk
Mabadiliko haya ya mifumo ya Computer yako sambamba na mabadiliko ya kiufahamu wa binadamu wote na Watanzania kwa ujumla.
Tunajua munachukia sana wale muliokuwa munawagandamiza kupata nafasi ya kutumia Internet si chini ya mara 7 kwa wiki.
Wanatamani kuhujumu miundombinu ya Satellite. Hawana Ubavu
Wanatamani kuhujumu hata Marine Cable ya SeaCom. Hawana ubavu.
Kila kitu kina mwisho. Huu ni mwisho wa CCM!!
DR. SLAA FOR LIFE
Kaka inaonekana mtaalamu wa masuala ya computer sana,....
Bahati mbaya me mgeni sana jf sijui nikutafute vipi niibe "ufundi zaidi" toka kwako!!!!
Nasoma b.sc in computer science
Yes Sure!Wanaichukia Internet.

... Mabadiliko haya ya mifumo ya Computer yako sambamba na mabadiliko ya kiufahamu wa binadamu wote na Watanzania kwa ujumla.
Kweli kabisa.Walitaraji kila mtu atamsifu dkt.Slaa.Lakini looh! wanaomchambua Slaa kama mgombea asiyefaa ndio kwanza wanaongezeka !.
mbona unaonekana wa kijani wewe? Computer science bachelor usichojua nini kati ya aliyosema?Kaka inaonekana mtaalamu wa masuala ya computer sana,....
Bahati mbaya me mgeni sana jf sijui nikutafute vipi niibe "ufundi zaidi" toka kwako!!!!
Nasoma b.sc in computer science
mbona unaonekana wa kijani wewe? Computer science bachelor usichojua nini kati ya aliyosema?Kaka inaonekana mtaalamu wa masuala ya computer sana,....
Bahati mbaya me mgeni sana jf sijui nikutafute vipi niibe "ufundi zaidi" toka kwako!!!!
Nasoma b.sc in computer science
siku hizi tumehama kutoka kwenye flash disk to External Hd na tunatumia bluetooth as FTP kwa device kadhaa.Wanaichukia Internet.
Wanatumia Internet kumhujumu Dr. Slaa. Tunatumia Internet kufahamu walichokifanya na hata walipofanyia conspiracy nzima.
Tulianza na Windows 3.1, ikaja Windows 95, Ikaja Windows 98, Ikaja Windows 98SE, Ikaje Windows Me, Ikaja Windows NT, Ikaja Windows 2000Pro, Ikaja Windows XP, Ikaja Windows Vista, Sasa Tuko Windows 7.
Mabadiliko yote haya yanahitaji Memory kubwa na CPU speed katika kipimo cha Mega. Fikra za Watanzania wa leo zipo katika kipimo cha Mega kama siyo Giga au Tera.
Kutoka Linux Command-based mpaka Linux GUI version.
Kutoka IDE mpaka SATA.
Kutoka Floppy mpaka USB flash disk
Mabadiliko haya ya mifumo ya Computer yako sambamba na mabadiliko ya kiufahamu wa binadamu wote na Watanzania kwa ujumla.
Tunajua munachukia sana wale muliokuwa munawagandamiza kupata nafasi ya kutumia Internet si chini ya mara 7 kwa wiki.
Wanatamani kuhujumu miundombinu ya Satellite. Hawana Ubavu
Wanatamani kuhujumu hata Marine Cable ya SeaCom. Hawana ubavu.
Kila kitu kina mwisho. Huu ni mwisho wa CCM!!
DR. SLAA FOR LIFE
siku hizi tumehama kutoka kwenye flash disk to External Hd na tunatumia bluetooth as FTP kwa device kadhaa.
Wanatamani kudelete lakini tunatumia recovery track kwa ku-reinstate files from emptied recycle-bin. Hawatoki mwaka huu nakwambia.