Mtoto Wabibi
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 451
- 296
Kwa sasa kuna vijana wa CHADEMA wamepamba sana majukwaa mitandaoni kuwashambulia ACT akiwemo kiongozi mkuu wa chama hicho Zitto Kabwe.
Mapema baada ya CCM kushinda uchaguzi na kuendeleza ubabe wao wa siasa za bongo, CHADEMA wamekosa mbadala wa aina ya siasa zao na hivyo kuanza kupotea(kufa) kisiasa hivyo wanawatumia vijana wao ambao wanasemekana kuwa wa bavicha ili kuiangusha ACT ambayo inaonekana kuaminika na kupendwa na wananchi kwa upande wa upinzani, wana hofu ya kuwa ACT itawa overtake kwenye chaguzi zijazo.
CHADEMA wapo mahututi sasa, likionekana tu kutajwa jina la zitto ,wao nikumchafua tu.
Kufeni taratibu tu kwani mlijua mpo kwenye mtubwi mkamuita seremala atoboe mtumbi mpate maji japo ya kunywa tu,badala yake ameshindwa na mnazama...
Tena naona mnachelewa kufa vizuri...hebu magufuli nyonga kabisa hawa
Adui wa adui yako ni rafiki yako.
ACT ndio upinzani uliobaki tanzani...wengine ndo kwa heri