Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,059
Mkuu management sio walipaji mshahara. Club imejaa wapiga dili ndo unawaita managementSio kwa menejimenti ya sasa Mkuuu, wako njema sana wala haina ubishi watalipwa mkwanja wao as usually.

Bila shaka kama Simba ilivyoungana na Yanga wakati wa issue ya Manji.Yanga muungane na Simba katika kipindi hiki kigumu. Muweke uhasama wenu pembeni kwa muda.View attachment 903118