Sudysoko
JF-Expert Member
- Aug 19, 2015
- 449
- 180
Tujikumbushe kidogo.
Mwaka Jana mvua zimenyesha sana mikoa mingi..na mahindi wakulima walipata yakutosha hadi wakauza Nje ya nchi na Serikali ikawazuia wasiuze kama mtakumbuka vyema hadi shehena ya chakula zilizokuwa zinapelekwa Kenya Serikali ilizuia.
Lakini tizama hapa
Mwezi wa kumi na mbili na wakwanza ndio huwa tunapanda mazao yetu mashambani kwa mikoa mingi hapa Tanzania kifupi ni msimu wa Kilimo mwezi uliopita na mwezi huu ni kipindi cha kupanda mazao.
Sasa
Watu wanahubiri kuna njaa sasa hii njaa ni ipii??
Hii njaa ni ya Lini???
Hii njaa imetoka wapi kama tunalima na kupanda mwezi wa kwanza na wakumi na mbili ??
Na unaposema sasa hivi kuna njaa inamaanisha umelima na mazao hujavuna na mazao tunayoyapanda mwezi wa kumi na mbili na huu wa kwanza huwa tunavuna mwezi wa sita na wasaba .
Inamaana kwasasa tuna kula chakula cha Mwaka Jana Mwaka 2016.
Je hii njaa ni IPI????
Watu wana post Picha za mahindi makubwa yamekauka je Picha hizo ni za LINI na Mahindi hayo yamekomaa Lini kiasi hicho cha kubeba then yakauke kama yanapandwa mwezi wa kwanza na wa kumi na mbili????
Tunaona sehemu nyingi mvua hakuna na chache sana je hayo mahindi yanayopostiwa yamenyauka na ni makubwa yamekomaa kwa mvua zipi maana mvua haipo.
Tusilalamike kuwa tuna njaa kwasasa maana tukilima hadi wakati wa kuvuna ndipo tutajua kama nja ipo au laa.
Inamaana kama njaa watu walalamike mwezi wa sita sio sasa maana kwasasa tunakula chakula cha mwaka jana sio cha mwaka huu 2017.
Tuache kusubiri njaa kwasasa...
Tusubiri mwez wa saba huko na wa sita .. Ndipo tulalamike
Lakin kama kawaida Miaka yote mazao hupanda bei sana miez ya kwanza na ya Pili ...
Pia Nadhani wote tunajua ndio mana MTU huvuna anasema ntauza mwezi wa Pili ... Hata hili hatulijui???
Kuwa mwezi wa Pili mazao hupanda bei na Wakulima hupata faida miaka yote??
Leo unashangaa nini mahindi kupanda bei au alizeti miezi hii??
Watu huvuna mwezi wa sita na wasaba na wanayaweka hadi mwezi wa Pili au wa kwanza ndio huanza kuuza kwa faida.
Hayo yote hatuyakumbuki ila tunashangilia wimbo wa njaa.
Je anayeuanzisha wimbo huu tunamjua??
Ninachokiona watu wanayatumia matukio kutafuta umaarufu
Tujikumbushe.
Suala LA Ben SAA nane walipiga kelele kubenea akasema jamaa yupo mtani ila wao walisema kapotezwa na Serikali na wakaanisha operation bring back Ben alive
Hilo likabuama.
Ilikuja kubanwa demokrasia nalolikabuma.
Likaja dikteta uchwara nalo likabuma.
sasa limekuja Tanzania tuna njaa nalo litapita.
Wanasiasa ni wajanja na hutumia kila mwanya kujijenga.
Swali
Watanzania wangapi wamekufa na njaa??
Tunapozungumzia njaa ikitokea leo watu wanapanga foleni mfano mtaa wa SEMTEMA mkutane pale kwa Mwananchi mpange foleni mpewe kilo mbili mbili za unga maana kuna njaa je watu watakubali??
Tunaposema tuna njaa tujiulize IPO kweli au tumeaminishwa kuna njaa.
Ushauri wangu
Njaa inaweza kuwepo au isiwepo tusubiri labda mwezi wa sita na wasaba kama mvua hazitanyesha miezi hii ..
Na hapo ndipo Serikali itachukua hatua ya kukabiliana Njaa.
Ila kwasasa Tanzania haina njaa
Na kama ipo mamlaka husika imetangaza????
Jibu ni Hapana hawajatangaza sasa tuna pata wap kauli ya kusema tuna njaa.
Kwasasa Tuna tumia mazao ya Mwaka uliopita sio Mwaka huu kwaajili ya chakula.
Je iyo njaa inayoimbwa Mwaka 2017 inatoka wapi wakati bado hata hatujavuna na tuna tumia chakula cha Mwaka 2016???