Wanasiasa uchwara mlioko Mbeya kimbieni. Jembe limeshatua huko

amilyroley

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
621
1,199
Mwanasiasa wa Uzito wa juu Edward Lowassa muda huu anakaribia kuingia jijini Mbeya. Wale dagaa mlioko huko tafuteni njia haraka kukwepa aibu. Ataanza na majimbo yote ya wilaya ya Rungwe.. Msiseme sijawaambia, nimewaambia mapema kuwaepusha na aibu
 
NGUVU YA LOWASSA NI KUBWA MNO!!! yaana kokote anakoenda akiuinua tu mkono wa mgombea yeyote wa UKAWA basi atapita.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom