Mheshimiwa Mbatia hali yake si nzuri yuko anasumbuliwa na maradhi lakini nimemwona Lowasa na Maalim tu ndio walioenda kumjulia hali, nilimwona Mh.Mbatia akiongea kwa machungu sana akitamani hata roho yake ichukuliwe, kwa kweli nilipatwa simanzi na nikaona anahitaji kufarijiwa na kuombewa, cha kushangaza washirika wake akina kafulila wamemkimbia na hakuna vingozi wa dini wanaokwenda kumjulia hali na kumwombea.