wanasiasa na misemo ya kiswahili katika harakati zao

mngony

JF-Expert Member
Jul 27, 2012
5,193
6,381
"tulihuzunika pamoja, tulifurahi pamoja na tutashinda pamoja". Edward Lowassa

"Ukiona kifaranga juu ya chungu, ujue chini kuna mama yake". Zitto Kabwe

"Tulianza na mungu, tutamaliza na mungu". Joshua Nassari

"Gogo la udi ukilichoma ndio linazidi kunukia". Zitto Kabwe

"Ukiwa mnafki ujanani, uzeeni utakuwa mchawi" J.K


kama unao msemo mwingine wa mwanasiasa maarufu uweke hapa
 
Back
Top Bottom