Wanasiasa na Majimbo

Wanasiasa na Majimbo

Outsiders

Member
Joined
Apr 22, 2024
Posts
26
Reaction score
33
Najiuliza kwanini wanasiasa wengi ambayo tayarii walikua wakiyatumikia majimbo yao kwa miaka mingi zaidi ni wagumu kuwaachia watu wengine wenye nia ya kutumikia wanainchi ?

Mfano: majimbo haya Bumbuli,, Rufiji,, n.k??
 
Back
Top Bottom