Hi wana JF wote
Leo tusemezane kuhusu hii tabia ya wanasiasa au viongozi wa serikali kupata kashfa za ngono imekuwa kama moja ya kuedit CV zao duniani swali wanapata wapi mda wa kukimbizana na makahaba na mda wa kujipanaga na majukumu ya uma that why wanaishia kuchakachua mali kwa kushindwa kujipanga mda ukiwapa mgongo ndo kuiba na kuachia nchi balaa tupu ni mishahara inayotokana na kodi za uma zinawapa kibali au ni nini jamani????????????
Tatizo la wapiga kura kutokuwa makini na maamuzi yao. Wanachagua watu kutokana na wali, kanga, sukari n.k. Hapa unategemea nini??
Wahenga wanasema "usiku haushoni nguo" lakini hawakusema kwamba kupiga kupasi haina shida. Nenda area c huko dom. Bar zote hazifungwi na zina "vichobisi" kama "mwanandani!" Sababu ni moja tu. Watawala wajisikie confotable.
USIKU MREFU DADA!