Wanasiasa hawaaminiki

wasumu

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
2,057
1,710
Katika maisha usije ukaamini matamko ya wanasiasa .wanasiasa ndio husababisha machafuko hufanya amani isiwepo hupandikiza chuki kwa wafuasi wao ila wao hawana chuki wao kwa wao tak it ishi kwa akili siku zote
 
"sifa kuu ya mwanasiasa ni uongo" by thobias kewen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom