Wanasiasa bora Tanzania 2018

Mgoshingwa

Member
Aug 26, 2018
38
17
Kwangu Mimi ni
1. TL; Alikufa na kufufuka bila kubadili msimamo wa kuitetea TZ

2. ZZK; Amekubali kushirikiana na waliomuona msaliti kwa maslahi mapana ya mama TZ

3. Maalim Seif; Pamoja na kupokwa ushindi na misukosuko mingi bao anaendesha siasa za kistaarabu zinazoepuka madhara/ maafa kwa wengine.

4. Mbowe; Amepigwa mishale kila kona, binafsi na chamani lakini bado amekomaa na msimamo wake.

5. .....
 
2018 John Mnyika..kalipa jiwe za chembe kidevu KO ya raundi ya kwanza... USO kwa USO..likabaki linajichekesha...wanaume hawajichekeshi sura za kazi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom