Wanasheria sio watu mchezo kabisa

Royal Son

JF-Expert Member
Dec 22, 2016
587
974
Mwanasheria mmoja alifanya mapenzi na mchepuko wake kwenye gari lake , basi yule msichana alifurahia sana lile tendo kiasi kwamba akasahau nguo yake ya ndani kwenye gari... Yule mwanasheria alipofika nyumbani mke wake akampokea akaingia ndani , ile kipindi mwanamke anashusha mizigo kutoka kwenye gari , akaiona ch*pi ya mwanamke kwenye gari
, akaanza kupiga kelele kwa asira uku anaichana. Yule mwanasheria akatoka nje haraka haraka kuangalia kilicho tokea , akaanza kumfokea mke wake " Wee mwanamke umechana ushahidi wa kesi ya ubakaji na ni ya mamilioni ...

Mwanamke hapo hapo akapiga magoti akaanza kuomba msamaha ...


Ama kweli kila mtu anakula kazini kwake!!!
[HASHTAG]#RoyalSon[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…