Wanasheria ,ni makosa yanastahili community sentence ?

viking

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,183
1,322
Kila mtanzania alishtushwa na na adhabu aliopewa aliekuwa waziri wa fedha Mramba na. Ndugu Yona kutumikia kifungo cha nje kwa makosa ya kuitia hasara serikali mabilioni ya fedha wakati wakiwa watumishi wa serikali . Community sentence inatumika sana kwa nje zilizoendelea kwa kutoa hukumu kwa makosa madogo dogo kama vile kupigana hadharani ,wizi mdogo mdogo au kutukani
Bado kabisa sijaelewa kwa sheria za kitanzania kosa kubwa kama ubadhirifu wa mali za umma au wizi mkubwa serikalini unaweza kuangukia katika kundi hili la community sentence.
Majizi yote yalioitia hasara serikali yataomba wapewe community sentence .Je sheria kweli imetafrisiwa vizuri hapa
 
Back
Top Bottom