Miongoni mwa KADA ninayoidharau huku Duniani ni hii ya Sheria Ingawa ni muhimu Lakini watu wenye nayo ndioHii imekua ni kawaida sasa kukuta mtu wa kawaida tu (layman) asiejua sheria kuuliza swali la kisheria au kutaka msaada wa kisheria then ikapita ata week nzima bila mtu huyu kusaidiwa, ni sawa kusaidiana sio lazima na kwakua huduma hii utolewa kwa malipo ya fedha, ila je nini kusudio la jukwaa hili ambalo wewe mwanasheria ni member? Pili, kwani kutoa ushauri mdogo tu tena mwingine ni wa vitu vidogo kabisa tena vitu vya kuandikiwa ata sentesi mbili tu za maneno ila kusaidiwa inakua tabu sana.
Nafikiri lengo la jukwaa lilikua ni zuli tu na kuwasaidia hawa ambao hawana uelewa kwa kiasi flani wa masuala ya sheria, dunia ni kubwa waungwana utakae msaidia leo ndio atakae kusaidia kesho, alafu pengine ndio anaweza kua mteja wako huyo.
Hili swala la watu kutaka msaada wa kisheria na wasisaidiwe kwa wakati muafaka au majibu mepesi mepesi na kejeli nyingi linakera sana, yaani katatizo kadogo tu mtu hajibiwi ata mwezi au hapati majibu kabisa while humu jf kila mtu ana dai ni mwanasheria na majukwaa mengine ana tamba sanaa ila jukwaa hili kimyaaa! Sasa si tumesomeshwa kwa kodi za hawa watu wakawaida jamani.
Anyway ni mtazamo tu na binafsi nliona kama ata mie nimekua sitendi haki kwa namna moja au nyingine ktk jukwaa hili pi, basi tubadilikeni waungwana, tulifufue jukwaa hili kwa kila namna. Na kwa kuanzia ntajitolea kumjibu kila anaetaka msaada kwa kadri niwezavyo na nipatapo muda walau kwa kiasi tu.
Balozi Mpya Jukwaa la sheria.
Fact learnedMawakili tupo busy sana na kazi za wateja, kama anataka ushauri aende ofisi yeyote ya mawakili atasaidiwa, huku mitandaoni huwezi kutoa ushauri maana kuna facts anakua amezificha hivyo ni ngumu kumshauri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mawakili tupo busy sana na kazi za wateja, kama anataka ushauri aende ofisi yeyote ya mawakili atasaidiwa, huku mitandaoni huwezi kutoa ushauri maana kuna facts anakua amezificha hivyo ni ngumu kumshauri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna PM n.k...Mawakili tupo busy sana na kazi za wateja, kama anataka ushauri aende ofisi yeyote ya mawakili atasaidiwa, huku mitandaoni huwezi kutoa ushauri maana kuna facts anakua amezificha hivyo ni ngumu kumshauri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Miongoni mwa KADA ninayoidharau huku Duniani ni hii ya Sheria Ingawa ni muhimu Lakini watu wenye nayo ndio
HOVYO kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna PM n.k...
Ushauri sio kesi mkuu ushauri ni ABC kwa ajili ya kesi....kama unashindwa kushauri kwenye public utawezaje kushauri ofisini?
Nikweli ila kwa wanaSHERIANi wapuuzi wachache tu ndio walikuaminisha hivi, ila usisahau mambo haya yapo karibu taaluma zote tu, acha mawazo haya ya hovyo.
Nikweli ila kwa wanaSHERIA
WANABOA ZAIDI ya Taaluma
zote believe me
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi wewe unaweza usiwe mmoja wao lkn asilimia kubwa ni HOVYONi wachache tu mkuu
Kiongozi wewe unaweza usiwe mmoja wao lkn asilimia kubwa ni HOVYONi wachache tu mkuu
Kiongozi wewe unaweza usiwe mmoja wao lkn asilimia kubwa ni HOVYONi wachache tu mkuu
Ficha upumbavu!kazi kujiita learned brother....msemo wa uliokwishatumika miaka ya 47
Kiongozi wewe unaweza usiwe mmoja wao lkn asilimia kubwa ni HOVYO
pita kule jukwaa la Sheria kuna watu wanauliza mambo wapate Ushauri kama ilivyo Forums nyingine za Jf unaweza kusubiri kule kama una Kesi itaisha na Ulichouliza hakuna majibu.... mimi ni mmoja wa watu waliotaka kujua Jambo kule tangu mwaka 2015
Hakuna aliepita Kutoa ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Miongoni mwa KADA ninayoidharau huku Duniani ni hii ya Sheria Ingawa ni muhimu Lakini watu wenye nayo ndio
HOVYO kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
kazi kujiita learned brother....msemo wa uliokwishatumika miaka ya 47