Huyu Dada humpendi loohh!kama kakuchukulia mume!
Always negativity towards her but let me tell uu,"There is the thin line between Hate and love"
Toka nilipojua hvyoo nimeacha kuchukia mtu na nina amani!
Hapa Bongo wasanii wenye elimu ni wachache mnoo
Asikudanganye mtu katika watu maarufu wote unaowajua wewe 0.1% only ndo wamefanikiwa kwa jitihada zao binafsi 99.99 wamefika kwa Umalaya,ugomvi na kick!
Punguza chukiii!mama