Wanapika nini hao

Watoto wa kishua tu utawajua.Nenda dukani wewe sema mafuta ya mgandoutaoneshwa kila aina
jamani lotion,cream ni tofauti na mafuta (two diferent things)
Baby dukani tena?!! grocery khaah, atleasti ungesema Pharmacy au beauty care outlets ! kweli kishua mmmmh..
 
Wewe mie sikuwezi naona umeanza kuandika na kizungu.Mie nanuaga mafuta yangu ya mukwano maduka ya huku kwetu uswahili
 
Ahsante, Ushasema mtu mzima vipi huniwezi wewe ni wakunitia makofi !! ili nikaae kwa adabu... hata huko uswahilini zipo boutique na salani nyingi !! au siyo.?
 
Sina hela ya boutique mie size yangu ni maduka ya kawaida nanunua mkwano wangu wa elfu mbili natumia kwa miezi sita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…