Wanapika nini hao

TUMBOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2014
Posts
3,877
Reaction score
2,069
Apo watakua wanacheza kibaba na mama
 

Attachments

  • 1410980931198.jpg
    46 KB · Views: 828
...mi ndo nilikuwa napikiwa,baba yao kisha tunajenga ramani ya mchanga,naenda kulala na mama yao teh teh teh...
 
Halafu unakuwa unajifanya mmama mara ufunge kilemba au khanga halafu kubwa

Hadi nilikuwa nina watoto halafu watoto wenyewe ni miti na viti sasa ukikuta nawagombeza ni balaa
 
Nimeungua sana nilivyokuwa mtoto kisa kujipikilisha

nakumbuka namna ulivyokuwa wajipikilisha ili tu mumeo wa kitoto nile...sitasahau yale maubwabwa uliyokuwa wapika!!!!
 
nakumbuka namna ulivyokuwa wajipikilisa ili mumeo wa kitoto nile...sitasahau yale maubwabwa uliyokuwa wapika!!!!

Yani ulikuwa unanitesa sana na ulivyokuwa mkali?Umenisababishia makovu tele halafu ukubwani umeenda kuoa mwingine.Yani mwanaume wewee......mhhhh????
 
Hao watoto walikua na akili sana shuleni tofauti na watoto wa kota kutwa kucheza gemu za kompyuta lakini shuleni hamna kitu mpaka Wizara ya Elimu imewatanulia magoli...
 
Weka na picha za mchezo wa Baba na Mama. Mimi niliwahi kuchezeshwa kama mtoto nilipolia nikapewa nyonyo. Hiyo nyonyo kipindi hicho sikujua ninini wala inaitwaje, nilikuja kujua nilichokuwa napewa nilipokuwa mkubwa, na nikikumbuka huwa natabasamu peke yangu na mpaka uzee wangu sitaacha kitu hicho......
 
Na mnapeana majukumu kuwa kesho nani 'aibe' nini kwao ili kukamilisha upishi huo...wa kuchota mchele, unga, chumvi...la upenyo ukikosekana basi utapikwa hata mchanga na majani kama mboga...
 
Yani ulikuwa unanitesa sana na ulivyokuwa mkali?Umenisababishia makovu tele halafu ukubwani umeenda kuoa mwingine.Yani mwanaume wewee......mhhhh????

si baada ya wewe kuhama kule mtaani kwetu...nilikutafuta hadi kwenye mafesibuku lakini nikaambulia patupu...

sasa hivi ningekuwa nala ile misosi yako loh!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…