Wapi @ New York City, USA......
anaitwa nani huyo mkuu??
Anaitwa Abdallah Ali Hassan Mwinyi. Kaushikilia kwa vipindi viwili mfululizo.
huu ndio ufalme! Pu*mb*af ina maana hii nchi haina watu wenye weledi
Upo ndugu? ni kipindi kirefu sijakuona humu Jf,heshima kwakoa clas wil riprodyuz itself
.Yule mtoto wa malecela ameishia wapi tena?! Nakumbuka alisha tangaza nia. Au bado yuko Newyork city?
Yule mtoto wa malecela ameishia wapi tena?! Nakumbuka alisha tangaza nia. Au bado yuko Newyork city?
Duh, nimestuka nilipoliona jina la baraka Kange. ni kifisadi papa hicho. Jamaa nimesoma nae India, ametapeli wengi kwa kweli. Hasahasa (freshers) wanafunzi wageni waliokuwa wanakuja kuanza masomo. Na kama mabinti alikuwa anawataka kimapenzi sana. Ili awape msaada, wanapokuwa shida au hawajui information flan.
Hivi CCM huwa wana records za mtu, au huwa wanaokota tu mtu yoyote. Jamaa akipita nitakidharua hiko chama.
Afu nakumbuka jamaa hata degree hakumaliza. Na wala alikuwa haileweki anasoma chuo gani na anaingia darasani saa ngapi. Tulisikia tu amerudi bongo. Jamaa mishemishe na deals nyingi sana.
Huo ni ufala mambo ya India na hilo yanahusiana nini!? Watu wengine bana! Ama ulitaka watu wajue ulisoma India!? ACHA HIZO JITOKEZE WEWE BASI TUONE HATA KAMA UTAJADILIWA sanasana utakuwa mmoja wa wale watakaokatwa kabla ya kufika kwenye vikao husika.
kwa amani ... aminaMY OPINION!
Dr Kaborou hana tija, ni bora apumzike ama apumzishwe!