Wanaounganisha watu na ajira...

Status
Not open for further replies.
Sasa hivi fanya mpango uwe freelancer. Yaani kulingana na elimu au juzi wako, unapost kazi unayoweza mfanyia mtu na bei zako zikoje.

Anayetaka, anakutafuta, mnachat, anaweza negotiate au unaweza mtumia bei tofauti kilingana na ukubwa wa kazi yake. Analipa hela, unaenda piga kazi faster.

Icheki hii site ya bongo inafanya hiyo kitu www.ajiras.com
 
Asante sana
 
Kuna kampuni inaitwa Bravo Job Agency ofisi yao ipo Chang'ombe mitaa ya maduka mawili.
Vyema kama unahitaji watu makini wa kukutafutia kazi waone hawa jamaa wanafanya kazi kiofisi na wapo tangu miaka ya nyuma.
Namba zao za simu please
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…